Wafilipi 2:9-10
Wafilipi 2:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi
Shirikisha
Soma Wafilipi 2