Wafilipi 2:8
Wafilipi 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Alijinyenyekesha na kutii mpaka kufa, hata kufa msalabani.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2