Wafilipi 2:3
Wafilipi 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Msifanye chochote kwa moyo wa fitina au kwa majivuno ya bure; muwe na unyenyekevu nyinyi kwa nyinyi, na kila mmoja amwone mwenzake kuwa bora kuliko yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2