Wafilipi 2:13
Wafilipi 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
kwani Mungu ndiye afanyaye kazi daima ndani yenu, na kuwapeni uwezo wa kutaka na kutekeleza mambo yanayopatana na mpango wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kulitimiza kusudi lake jema.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kulitimiza kusudi lake jema.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2