Wafilipi 1:6
Wafilipi 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nina hakika kwamba Mungu aliyeanza kazi hii njema ndani yenu, ataiendeleza mpaka ikamilike katika siku ile ya Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Wafilipi 1