Wafilipi 1:21-22
Wafilipi 1:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi. Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi!
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida. Ila ikiwa kuishi katika mwili, kwangu mimi ni matunda ya kazi; basi nitakalolichagua silitambui.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1