Hesabu 9:15
Hesabu 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ambayo hema takatifu lilisimikwa, wingu lilishuka na kulifunika hema la maamuzi. Wakati wa usiku wingu hilo lilionekana kama moto mpaka asubuhi.
Shirikisha
Soma Hesabu 9Hesabu 9:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na siku hiyo maskani iliposimamishwa, lile wingu likaifunika maskani, yaani, hema ya kukutania; wakati wa jioni likawa juu ya maskani, mfano wa moto, hata asubuhi.
Shirikisha
Soma Hesabu 9