Hesabu 35:15
Hesabu 35:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Miji hii itakuwa ya makimbilio kwa ajili ya Waisraeli na wageni wa kudumu au wa muda wanaokaa pamoja nao. Mtu yeyote akimuua mwingine bila kukusudia anaweza kukimbilia huko.
Shirikisha
Soma Hesabu 35Hesabu 35:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Miji hiyo sita itakuwa pa kukimbilia usalama kwa ajili ya wana wa Israeli, kwa ajili ya mgeni na kwa ajili ya aishiye nao kama mgeni; ili kila amwuaye mtu, bila kukusudia kuua, apate mahali pa kukimbilia.
Shirikisha
Soma Hesabu 35Hesabu 35:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Miji hiyo sita itakuwa miji ya makimbilio kwa ajili ya wana wa Israeli, na kwa ajili ya mgeni, na kwa ajili ya huyo aketiye kati yao hali ya ugeni; ili kila amwuaye mtu, naye hakukusudia kumwua, apate kukimbilia huko.
Shirikisha
Soma Hesabu 35