Hesabu 33:55
Hesabu 33:55 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama msipowafukuza wenyeji wa nchi hiyo kwanza, basi wale mtakaowaacha watakuwa kama vibanzi machoni mwenu au miiba kila upande, na watawasumbua.
Shirikisha
Soma Hesabu 33Hesabu 33:55 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kama hamtaki kuwafukuza wenyeji wa nchi watoke mbele yenu; ndipo hao ambao mtawabakiza watakuwa kama sindano machoni mwenu, na kama miiba ubavuni mwenu, nao watawasumbua katika hiyo nchi ambayo mwakaa.
Shirikisha
Soma Hesabu 33