Hesabu 22:28
Hesabu 22:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”
Shirikisha
Soma Hesabu 22Hesabu 22:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akakifunua kinywa cha yule punda, naye akamwambia Balaamu, Nimekutenda nini, hata ukanipiga mara tatu hizi?
Shirikisha
Soma Hesabu 22