Hesabu 21:7
Hesabu 21:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, watu wakamwendea Mose, wakamwambia, “Tumetenda dhambi kwa kumnungunikia Mwenyezi-Mungu na wewe pia. Mwombe Mwenyezi-Mungu atuondolee nyoka hawa.” Kwa hiyo, Mose akawaombea watu.
Shirikisha
Soma Hesabu 21Hesabu 21:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wakamwendea Musa, wakasema, Tumefanya dhambi kwa sababu tumemnung'unikia Mungu, na wewe; utuombee kwa BWANA, atuondolee nyoka hawa. Basi Musa akawaombea watu.
Shirikisha
Soma Hesabu 21