Hesabu 21:6
Hesabu 21:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakafa.
Shirikisha
Soma Hesabu 21Hesabu 21:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akatuma nyoka za moto kati ya watu, wakawauma, watu wengi wakafa.
Shirikisha
Soma Hesabu 21