Nehemia 9:13
Nehemia 9:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo
Shirikisha
Soma Nehemia 9Nehemia 9:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kule mlimani Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, kanuni nzuri na amri.
Shirikisha
Soma Nehemia 9