Nehemia 6:3
Nehemia 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nikawapelekea wajumbe, nikisema, “Kazi ninayoifanya ni muhimu sana. Hivyo siwezi kuja kwenu ili kazi isije ikasimama.”
Shirikisha
Soma Nehemia 6Nehemia 6:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mimi nikatuma wajumbe kwao, nikasema, Hii ni kazi kubwa ninayoifanya mimi, siwezi kushuka, kwa nini niwashukie na hapo kazi isimame?
Shirikisha
Soma Nehemia 6