Nehemia 6:14
Nehemia 6:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nikamwomba Mungu nikisema, “Ee Mungu, kumbuka yote waliyotenda Tobia na Sanbalati, hata yule Noadia, nabii mwanamke, na manabii wengine waliotaka kunifanya niogope.”
Shirikisha
Soma Nehemia 6Nehemia 6:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwakumbuke, Ee Mungu wangu, Tobia na Sanbalati kulingana na hayo matendo yao, na yule nabii mwanamke Noadia.
Shirikisha
Soma Nehemia 6