Nehemia 4:6
Nehemia 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini tuliendelea na ujenzi wa ukuta mpaka ukafikia nusu yake kwa sababu watu walikuwa wamedhamiria kwa dhati.
Shirikisha
Soma Nehemia 4Nehemia 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi tukaujenga ukuta; nao ukuta wote ukaunganishwa kiasi cha nusu ya kimo chake; maana watu walikuwa na moyo wa kufanya kazi.
Shirikisha
Soma Nehemia 4