Marko 9:47
Marko 9:47 Biblia Habari Njema (BHN)
Na jicho lako likikukosesha, lingoe! Afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja tu, kuliko kuwa na macho yako yote mawili na kutupwa katika moto wa Jehanamu.
Shirikisha
Soma Marko 9Marko 9:47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na jicho lako likikukosesha, ling'oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika Jehanamu
Shirikisha
Soma Marko 9