Marko 2:1-2
Marko 2:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya siku kadhaa, Yesu alirudi Kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani. Basi, wakaja watu wengi sana hata nafasi yoyote ikakosekana mlangoni. Yesu alikuwa akiwahubiria ujumbe wake
Shirikisha
Soma Marko 2Marko 2:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaingia Kapernaumu tena, baada ya siku kadhaa, ikasikiwa ya kwamba yumo nyumbani. Wakakusanyika watu wengi, isibaki nafasi hata mlangoni; akawa akisema nao neno lake.
Shirikisha
Soma Marko 2