Marko 15:33-34
Marko 15:33-34 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hata saa tisa. Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Shirikisha
Soma Marko 15Marko 15:33-34 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa. Mnamo saa tisa, Yesu akapaza sauti, akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)
Shirikisha
Soma Marko 15