Marko 12:31
Marko 12:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Na ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ Hakuna amri nyingine iliyo kubwa zaidi kuliko hizi.”
Shirikisha
Soma Marko 12Marko 12:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.
Shirikisha
Soma Marko 12