Marko 11:24
Marko 11:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
Shirikisha
Soma Marko 11Marko 11:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, aminini kwamba mmekipokea, nanyi mtapewa.
Shirikisha
Soma Marko 11Marko 11:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yoyote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
Shirikisha
Soma Marko 11