Marko 1:35-37
Marko 1:35-37 Biblia Habari Njema (BHN)
Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali. Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta. Walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.”
Shirikisha
Soma Marko 1Marko 1:35-37 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata alfajiri na mapema sana akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko. Simoni na wenziwe wakamfuata; nao walipomwona wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.
Shirikisha
Soma Marko 1