Marko 1:11
Marko 1:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.”
Shirikisha
Soma Marko 1Marko 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Sauti ikasikika kutoka mbinguni: “Wewe ni Mwanangu mpendwa, nimependezwa nawe.”
Shirikisha
Soma Marko 1