Mika 4:5
Mika 4:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mataifa yote yanaweza kutembea katika jina la miungu yao; sisi tutatembea katika jina la BWANA Mungu wetu milele na milele.
Shirikisha
Soma Mika 4Mika 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele.
Shirikisha
Soma Mika 4