Mika 4:1
Mika 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Utakuja wakati ambapo mlima wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu utakuwa mkubwa kuliko milima yote. Naam, utakwezwa juu ya vilima vyote. Watu wengi watamiminika huko
Shirikisha
Soma Mika 4Mika 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini itakuwa katika siku za mwisho, ya kwamba mlima wa nyumba ya BWANA utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na watu wa mataifa watauendea makundi makundi.
Shirikisha
Soma Mika 4