Mika 3:6
Mika 3:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo itakuwa usiku kwenu, msipate kuona maono; tena itakuwa giza kwenu, msiweze kubashiri; nalo jua litawachwea manabii, nao mchana utakuwa mweusi juu yao.
Shirikisha
Soma Mika 3Mika 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwenu manabii kutakuwa usiku bila maono, kutakuwa giza kwenu bila ufunuo. Kwenu manabii kutakuchwa, mchana utakuwa giza kwenu.”
Shirikisha
Soma Mika 3