Mathayo 9:35
Mathayo 9:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika masunagogi yao akihubiri Habari Njema ya ufalme wa Mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.
Shirikisha
Soma Mathayo 9