Mathayo 9:17
Mathayo 9:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Wala watu hawaweki divai mpya katika viriba vikuukuu. Wakifanya hivyo, viriba hupasuka na divai ikamwagika, navyo viriba vikaharibika. Ila, watu huweka divai mpya katika viriba vipya, na vyote viwili, viriba na divai, vikahifadhiwa salama.”
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu; na kama wakitia, vile viriba hupasuka, divai ikamwagika, na viriba vikaharibika; bali hutia divai mpya katika viriba vipya, vikahifadhika vyote.
Shirikisha
Soma Mathayo 9