Mathayo 8:13
Mathayo 8:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yesu akamwambia huyo jemadari Mroma, “Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini.” Na mtumishi wake akapona saa ileile.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu akamwambia yule afisa, Nenda zako; na iwe kwako kama ulivyoamini. Mtumishi wake akapona wakati ule ule.
Shirikisha
Soma Mathayo 8