Mathayo 8:10
Mathayo 8:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia watu waliokuwa wanamfuata, “Kweli nawaambieni, sijapata kumwona mtu yeyote katika Israeli mwenye imani kama hii.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa yeyote katika Israeli.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa ye yote katika Israeli.
Shirikisha
Soma Mathayo 8