Mathayo 7:5
Mathayo 7:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Shirikisha
Soma Mathayo 7