Mathayo 7:28-29
Mathayo 7:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo, makutano walishangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka, wala si kama waandishi wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:28-29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo, makutano walishangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 7