Mathayo 7:19-20
Mathayo 7:19-20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni. Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 7