Mathayo 6:34
Mathayo 6:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Maovu ya siku yanaitosha siku hiyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:34 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 6