Mathayo 6:32
Mathayo 6:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana hayo yote yanahangaikiwa na watu wasiomjua Mungu. Baba yenu wa mbinguni anajua kwamba mnahitaji vitu hivyo vyote.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.
Shirikisha
Soma Mathayo 6