Mathayo 6:30
Mathayo 6:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa basi, Mungu hulivika hivyo jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, je, si atawafanyia nyinyi zaidi? Enyi watu wenye imani haba!
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa katika tanuri, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?
Shirikisha
Soma Mathayo 6