Mathayo 6:3-4
Mathayo 6:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kulia; sadaka yako iwe kwa siri; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume; sadaka yako iwe kwa siri; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6