Mathayo 6:29
Mathayo 6:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nawaambieni, hata Solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nawaambia, ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6