Mathayo 6:20-21
Mathayo 6:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba. Maana pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wezi hawavunji wala hawaibi; kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako pia.
Shirikisha
Soma Mathayo 6