Mathayo 5:43-44
Mathayo 5:43-44 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mmesikia kwamba ilisemwa: ‘Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako.’ Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:43-44 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:43-44 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi
Shirikisha
Soma Mathayo 5