Mathayo 5:27-28
Mathayo 5:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mmesikia kwamba watu waliambiwa: ‘Usizini!’ Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Mathayo 5