Mathayo 5:1-2
Mathayo 5:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, naye akaanza kuwafundisha
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alipowaona makundi ya watu, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia; akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema
Shirikisha
Soma Mathayo 5