Mathayo 4:16
Mathayo 4:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!”
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wale waliokaa katika giza Wameona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika nchi na uvuli wa mauti Mwanga umewazukia.
Shirikisha
Soma Mathayo 4