Mathayo 28:20
Mathayo 28:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Wafundisheni kushika maagizo yote niliyowapeni. Nami nipo pamoja nanyi siku zote; naam, mpaka mwisho wa nyakati.”
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Shirikisha
Soma Mathayo 28