Mathayo 28:18-19
Mathayo 28:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akaja karibu, akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Basi, nendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:18-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu
Shirikisha
Soma Mathayo 28