Mathayo 28:10
Mathayo 28:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yesu akawaambia, “Msiogope! Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, na huko wataniona.”
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Yesu akawaambia, Msiogope; nendeni, mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.
Shirikisha
Soma Mathayo 28