Mathayo 26:52
Mathayo 26:52 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:52 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga.
Shirikisha
Soma Mathayo 26