Mathayo 26:14
Mathayo 26:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakati huo mmoja wa wale Thenashara, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili, akaenda kwa makuhani wakuu
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati huo mmoja wa wale Kumi na Wawili, jina lake Yuda Iskarioti, aliwaendea wakuu wa makuhani
Shirikisha
Soma Mathayo 26