Mathayo 24:6
Mathayo 24:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtasikia habari za vita na tetesi za vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtasikia habari za vita na matetesi ya vita. Angalieni msitishike, kwa maana haya hayana budi kutukia. Lakini ule mwisho bado.
Shirikisha
Soma Mathayo 24