Mathayo 24:5
Mathayo 24:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24